99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ujenzi wa Barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang waingia katika hatua ya mwisho ya kukamilika (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2025
Ujenzi wa Barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang waingia katika hatua ya mwisho ya kukamilika
Picha iliyopigwa kwa droni Mei 13, 2025 ikionyesha daraja la Mto Lami chini ya barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang inayojengwa katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China.(Xinhua/Taoliang)

Ujenzi wa barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang unaendelea katika pilikapilika zaidi, mpaka sasa asilimia 85 ya kazi ya ujenzi wa mradi huu imekamilika, na kazi za ujenzi wa jumla zimeingia katika hatua ya mwisho ya kukamilika. Barabara hiyo ya mwendo kasi ina urefu wa kilomita 174.018, na kasi inayopangwa ni kilomita 100 kwa saa. Barabara hiyo nzima inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

??

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha