

Lugha Nyingine
Ujenzi wa Barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang waingia katika hatua ya mwisho ya kukamilika (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa kwa droni Mei 12, 2025 ikionyesha kituo cha kaskazini kwenye barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China.(Xinhua/Taoliang) |
Ujenzi wa barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang unaendelea katika pilikapilika zaidi, mpaka sasa asilimia 85 ya kazi ya ujenzi wa mradi huu imekamilika, na kazi za ujenzi wa jumla zimeingia katika hatua ya mwisho ya kukamilika. Barabara hiyo ya mwendo kasi ina urefu wa kilomita 174.018, na kasi inayopangwa ni kilomita 100 kwa saa. Barabara hiyo nzima inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
??
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika
Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yaanza Shanghai
Shaolin Kungfu, chombo muhimu cha mawasiliano ya Utamaduni wa China na ulimwengu wa nje
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma