99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yashuhudia kuongezeka kwa safari za kurudi katika siku ya mwisho ya likizo ya Mei Mosi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2025
China yashuhudia kuongezeka kwa safari za kurudi katika siku ya mwisho ya likizo ya Mei Mosi
Picha iliyopigwa tarehe 5 Mei, 2025 ikionyesha magari kwenye daraja kuu la Jiangyin katika barabara kuu ya Beijing-Shanghai. (Picha na Gu Jihong/Xinhua)

Likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa China imechukua siku tano, kuanzia Mei Mosi hadi jana Jumatatu Mei 5, ambapo watu wamerudi kazini leo Jumanne, Mei 6. Katika siku hizo tano, Wachina wamekuwa wakisafiri sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kutembelea maeneo ya utalii, burudani, manunuzi na kufurahia kujumuika na familia.

Katika siku ya mwisho ya likizo hiyo, kilele cha safari nyingi za watu kurudi katika makaazi na maeneo yao ya kazi kimeshuhudia kote nchini humo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha