99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Muonekano wa Ziwa Jade Kaskazini Magharibi mwa China kutoka angani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2025
Muonekano wa Ziwa Jade Kaskazini Magharibi mwa China kutoka angani
Picha iliyopigwa kutoka juu Aprili 19, 2025 ikionesha Ziwa Jade huko Mangya, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini Magharibi mwa China. (Xinhua/Du Xiaowei)

Kwa sababu ya tofauti katika kina na mkusanyiko wa kiasi kikubwa cha madini majini, Ziwa Jade lililoko Mangya, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini Magharibi mwa China linaonesha rangi mbalimbali, ikilifanya kuwa kivutio maarufu cha utalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha