99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ushoroba alama wa biashara wa China wachochea ukuaji wa viwanda vya vioo na biashara ya Dunia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2025
Ushoroba alama wa biashara wa China wachochea ukuaji wa viwanda vya vioo na biashara ya Dunia
Wafanyakazi wakichakata bidhaa za kioo kwenye kiwanda cha vioo mjini Beihai, Mkoa unaojiendesha wa Guangxi, kusini mwa China, Machi 13, 2025. (Xinhua/Cao Yiming)

NANNING - Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na maendeleo ya Ushoroba Mpya wa Biashara ya Kimataifa kwenye nchi kavu na Baharini, ambao ni mtandao muhimu wa usambazaji bidhaa unaounganisha mikoa ya magharibi ya China na masoko ya Dunia, viwanda husika vya vioo vya China vimekuwa vikipanua kwa kutumia rasilimali na nguvu bora za usambazaji bidhaa za kimikoa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha