99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yajiandaa kurusha chombo cha Shenzhou-20 cha kuwabeba wanaanga kwenda anga ya juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2025
China yajiandaa kurusha chombo cha Shenzhou-20 cha kuwabeba wanaanga kwenda anga ya juu
Picha hii iliyopigwa Aprili 16, 2025 ikionyesha chombo cha Shenzhou-20 cha kuwabeba wanaanga na roketi ya kubeba ya Long March-2F vikihamishwa kiwima hadi eneo la kurushia. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)

JIUQUAN – Chombo cha Shenzhou-20 cha kuwabeba wanaanga na roketi ya kubeba ya Long March-2F kwa pamoja vimehamishiwa kwenye eneo la kurusha vyombo kwenda anga ya juu, Shirika la Anga ya Juu la China (CMSA) limesema jana Jumatano.

Shirika la CMSA limesema, majengo na vifaa vyote viko katika hali nzuri kwenye eneo hilo la kurushia vyombo kwenda anga ya juu, wakati huohuo ukaguzi wa kazi za kabla ya urushaji na majaribio ya pamoja yatafanywa kama ilivyopangwa.

“Chombo hicho kitarushwa kwa mpango uliowekwa” Shirika la CMSA limesema.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha