99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Rais wa China awasili Cambodia na kuanza ziara

(CRI Online) April 17, 2025
Rais wa China awasili Cambodia na kuanza ziara
(Picha inatoka shirika la Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China leo amefika mjini Phnom Penh kwa ndege maalum, na kuanza rasmi ziara yake nchini Cambodia.

Katika uwanja wa ndege, Rais Xi alipokelewa na mfalme Norodom Sihamoni na mwenyekiti wa chama tawala cha Cambodia Samdech Hun Sen.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha