99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya 5 ya Bidhaa za Matumizi ya China yaendelea?kuandaliwa mjini Haikou, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2025
Maonyesho ya 5 ya Bidhaa za Matumizi ya China yaendelea?kuandaliwa mjini Haikou, China
Mwonyeshaji bidhaa akijiandaa Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Hainan mjini Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Aprili 10, 2025. (Xinhua/Guo Cheng)

Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE), ambalo ni jukwaa kuu la mwelekeo wa biashara na matumizi ya kimataifa, yatafanyika Haikou, mji mkuu wa Mkoa wa Hainan, kusini mwa China kuanzia Aprili 13 hadi Aprili 18. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha