99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mlinzi akua pamoja?na panda Sichuan, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 08, 2025
Mlinzi akua pamoja?na panda Sichuan, China
Mlinzi wa panda Li Rong akicheza na vitoto vya panda huku akivilisha kwenye kituo cha panda cha Shenshuping cha Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Wolong, Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China, Machi 27, 2025. (Xinhua/Meng Tao)

Akiwa mzaliwa wa Mkoa wa Sichuan, unaojulikana kama maskani ya panda, Li amekuza uhusiano maalum na panda tangu utotoni. Akisukumwa na shauku yake ya kuchunguza mazingira ya asili na kufuatilia wanyama pori, alisoma elimu ya uhifadhi wa wanyamapori katika chuo kikuu.

Baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu, Li alianza kufanya kazi katika fani zingine, lakini mwaka 2019, alipojua kuwa kituo hicho cha panda kilikuwa kikiajiri watunzaji, alituma maombi ya kazi ili kurejea ndoto aliyokuwa ameisimamisha.

"Hapo awali, panda wote walionekana kufanana kwangu. Lakini baada ya kuwa mlinzi, nimegundua kuwa wanatofautiana kabisa," Li amesema.

Pia amesema kuwa kutunza panda kunahitaji umakini zaidi kuliko kulea watoto -- kuanzia kusafisha nzio na kuandaa chakula hadi kutazama na kurekodi. Kazi hufanya saa kupita haraka.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha