99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wafurahia likizo ya Siku ya Qingming nchini China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2025
Watu wafurahia likizo ya Siku ya Qingming nchini China
Watu wakiwa wamepanda vyombo kwa kutembelea kwenye bustani katika Mji wa Lanzhou, Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China, Aprili 6, 2025. (Picha na Jin Wangui/Xinhua)

Siku ya Qingming, au tuseme ni Siku ya Kufagia Makaburi, iliangukia Ijumaa, Aprili 4 mwaka huu. Hii ni siku ya jadi ya China kwa watu kuwakumbuka watu waliofariki dunia na kuabudu mababu zao. Siku hiyo pia ni siku chache za mapumziko kwa raia wa China huku wakishiriki katika shughuli za kutembea kwenye maeneo yenye mandhari nzuri. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha