99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Meli kubwa ya kwanza ya utalii inayoundwa?nchini?China yafanya safari ya kwanza mjini Qingdao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2025
Meli kubwa ya kwanza ya utalii inayoundwa?nchini?China yafanya safari ya kwanza mjini Qingdao
Picha iliyopigwa tarehe 6 Aprili 2025 ikionyesha Meli ya utalii ya Adora Magic City ikiwa imetia nanga kwenye Gati la Kimataifa la Meli za Utalii la Qingdao mjini Qingdao, Mkoani Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

Ikiwa ni meli kubwa ya kwanza ya utalii inayoundwa nchini China, Adora Magic City imeanza safari yake ya kwanza ya kibiashara Januari 1, 2024. Wakati huu, meli hiyo imefanya safari yake ya kwanza katika Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ambayo ni mara ya kwanza kwa meli hiyo kuonyeshwa katika mji huo wa bandari wa China tofauti na bandari yake ya nyumbani mjini Shanghai, na itaondoka kuelekea Mji wa Jeju wa Korea Kusini na Mji wa Fukuoka wa Japan. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha