99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wa sehemu mbalimbali China watoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2025
Watu wa sehemu mbalimbali China watoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming
Watu wakitoa heshima kwa wahanga mjini Hengyang, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Aprili 2, 2025. (Picha na Cao Zhengping/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wameshiriki kwenye shughuli za kufagia makaburi na kutoa heshima kwa wahanga kabla ya Siku ya Qingming ya Tarehe 4 Aprili mwaka huu, ambayo ni siku ya jadi kwa Wachina kukumbuka watu waliojitolea mihanga na kukumbuka mababu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha