99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

"Mzunguko?wa maisha wa dakika 15" waongeza urahisi kwa wakazi wa Xiong'an, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2025
Picha iliyopigwa Machi 25, 2025 ikionyesha shule katika eneo la Rongxi la Eneo Jipya la Xiong'an, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. (Xinhua/Mu Yu)

Tangu China ilipotangaza mipango ya kuanzisha Eneo Jipya la Xiong'an mwezi Aprili Mwaka 2017, eneo hilo limepitia hali mbalimbali kutoka ramani hadi kuwa mji wenye ustawi kwa maisha ya watu.

Vituo zaidi ya 200 vya huduma kwa jamii vimeshaanzishwa katika maeneo mapya yaliyojengwa ya Xiong'an, vikijenga "mzunguko wa maisha wa dakika 15" ambao unakidhi mahitaji ya kimsingi ya wakaazi kwa ununuzi na burudani za mapumziko. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha