99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025 kufanyika Beijing, China kuanzia leo Alhamisi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 27, 2025
Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025 kufanyika Beijing, China kuanzia leo Alhamisi
Wafanyakazi wakirekebisha roboti za muundo wa binadamu za Kuavo kwenye Kituo cha Uvumbuzi cha Kimataifa cha Zhongguancun, ukumbi wa Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025, mjini Beijing, Machi 26, 2025. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Jukwaa la Zhongguancun Mwaka 2025 likiwa na kaulimbiu ya "Nguvu Mpya za Uzalishaji zenye Sifa Bora na Ushirikiano wa Teknolojia Duniani” limepangwa kufanyika kuanzia Tarehe 27 hadi 31,Machi. Mkutano wa mwaka huu wa jukwaa hilo unahusisha sehemu kuu tano, zikiwemo za mikutano na biashara ya teknolojia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha