99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Utalii wa majira ya mchipuko waonyesha uhai wa uchumi nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 26, 2025
Utalii wa majira ya mchipuko waonyesha uhai wa uchumi nchini China
Watalii wakifurahia mchanuo wa maua ya kole kwa treni ya kitalii kwenye eneo la kivutio cha watalii la Jiangling katika Wilaya ya Wuyuan, mji wa Shangrao, Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, Machi 23, 2025. (Picha na Li Zongxian/Xinhua)

BEIJING - Wakiwa na shauku ya kuwa huru kutoka kwenye vizuizi vya majira ya baridi, watu wa China wanakumbatia shughuli mbalimbali za majira ya mchipuko huku majira hayo yakitoa fursa zisizo na kikomo za kufurahia uzuri wa mazingira ya asili.

Kadiri halijoto inavyozidi kuongezeka, shughuli zikiwemo za kutazama mandhari, kufurahia maua, kuchuma majani ya chai, na kwenda sokoni zimechochea "uchumi wa majira ya mchipuko" unaostawi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha