99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wilaya ya Kabila la Watajik ya Taxkorgan, Xinjiang, China yatumia urithi wa kitamaduni kukuza utalii (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 25, 2025
Wilaya ya Kabila la Watajik ya Taxkorgan, Xinjiang, China yatumia urithi wa kitamaduni kukuza utalii
Picha hii iliyopigwa Machi 23, 2025 ikionyesha onyesho la urithi wa kitamaduni usioshikika katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Watajik ya Taxkorgan, Mkoani Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China. (Xinhua/Hu Huhu)

Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Watajik ya Taxkorgan, Mkoani Xinjiang unajivunia urithi mbalimbali wa kitamaduni usioshikika.

Katika wakati huu wa kipindi cha mlingano wa usiku na mchana wa Majira ya Mchipuko, ambacho ni kipindi cha nne cha mzunguko wa jua katika kalenda ya kilimo ya China, ambacho kiliangukia Machi 20 mwaka huu, wilaya hiyo imekuwa ikifungamanisha rasilimali zake za mazingira na utamaduni wake wa jadi wa kikabila kufanya maonyesho ya urithi wa kitamaduni usioshikika na shughuli za kitamaduni na michezo, kama njia ya kuvutia watalii na kutangaza utalii wake katika majira ya mchipuko.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha