99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Eneo la Delta la Mto Yangtze lashuhudia upigaji hatua katika maendeleo ya kijani na jumuishi ya kiikolojia (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2025
Eneo la Delta la Mto Yangtze lashuhudia upigaji hatua katika maendeleo ya kijani na jumuishi ya kiikolojia
Maafisa wa utekelezaji sheria kutoka idara za mazingira ya kiikolojia katika Wilaya ya Wujiang ya mji wa Suzhou, Wilaya ya Qingpu ya Shanghai na Wilaya ya Jiashan ya Mkoa wa Zhejiang wakiangalia vifaa vya ufuatiliaji kwenye mtambo wa kutibu maji taka ya viwandani katika Wilaya ya Wujiang ya mji wa Suzhou, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Machi 18, 2025. (Xinhua/Ji Chunpeng)

Kupitia ulinzi na usimamizi wa pamoja, Ziwa Yuandang linalounganisha Wilaya ya Wujiang ya mji wa Suzhou katika Mkoa wa Jiangsu na Wilaya ya Qingpu ya Shanghai sasa limekuwa kivutio cha watalii.

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Wujiang ya mji wa Suzhou imekuwa ikifanya kazi pamoja na Wilaya ya Qingpu ya Mji wa Shanghai na Wilaya ya Jiashan ya Mkoa wa Zhejiang kuhimiza maendeleo ya kijani kupitia uhifadhi na usimamizi wa pamoja wa mazingira ya kiikolojia, usimamizi wa kutumia akili bandia na kuanzisha mifumo ya biashara ya Carbon dioxide, kama sehemu ya kampeni ya kuharakisha ujenzi wa maeneo ya kielelezo kwa ajili ya maendeleo ya kijani na jumuishi ya kiikolojia ya Mto Yangtze. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha