99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wakulima katika Mkoa wa Xizang, China wakaribisha kilimo cha majira ya mchipuko (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 17, 2025
Wakulima katika Mkoa wa Xizang, China wakaribisha kilimo cha majira ya mchipuko
Wakulima wakishiriki kwenye hafla ya kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko katika Tarafa ya Codoi ya Wilaya ya Lhunzhub ya Mji wa Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Machi 16, 2025. (Xinhua/Tenzin Nyida)

Hafla ya kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko imefanyika sehemu mbalimbali katika Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China jana Jumapili, Machi 16. Hafla hiyo ina umuhimu mkubwa kwani imeonesha mwanzo wa majira ya kilimo ya mwaka mpya, na hii pia ni hafla ya kuombea hali ya hewa nzuri na mavuno mengi. Inachukuliwa kuwa hafla muhimu katika maeneo ya kilimo ya mkoa huo wa Xizang.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha