99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mwendelezaji misitu ageuza vilima kuwa vya kijani, kuongeza mapato ya wakulima kwa kutumia zaidi ya muongo (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 13, 2025
Mwendelezaji misitu ageuza vilima kuwa vya kijani, kuongeza mapato ya wakulima kwa kutumia zaidi ya muongo
Wu Guangrong akipanda miti ya camellia ya chai ya mafuta kwenye bustani ya ikolojia katika Wilaya ya Longli, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 12, 2024. (Xinhua)

Wu Guangrong, mzaliwa wa Kitongoji cha Fangxiang katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China amekuwa akijishughulisha na tasnia ya mandhari za mazingira kwa miaka mingi tangu alipohitimu kutoka shule ya ufundi wa misitu mwaka 2001.

Akiwa na upendo maalum kwa misitu, alitia saini kwenye mkataba wa kutumia ardhi kame mlimani yenye ukubwa wa mu 4,000 (ekari kama 659) katika moja ya vijiji vya Wilaya ya Longli mwaka 2013, na hatua kwa hatua akaiendeleza na kuibadili kuwa bustani ya ikolojia hasa akipanda maua ya camellia, pamoja na miche ya kijani, matunda yenye ubora na misitu.

Hivi karibuni, bustani hiyo ya ikolojia ya Wu imekuwa nguzo ya ustawishaji wa kijiji hicho, si tu kwa kugeuza vilima visiyo na mimea kuwa vya kijani, lakini pia kutoa fursa za kazi kwa wanavijiji wenyeji. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha