99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mawaziri na?viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 12, 2025
Mawaziri na?viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14
Gao Zhidan, mkurugenzi wa Idara Kuu ya Michezo ya China, akishiriki kwenye mahojiano baada ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha