99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wang'ara katika "mikutano mikuu miwili" ya China inayoendelea (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2025
Wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wang'ara katika
Washauri wa kisiasa wa kitaifa wakitembea kuelekea kwenye Jumba la Mikutano ya Umma kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa tatu wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) mjini Beijing, mji mkuu wa China, Machi 4, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Jana Jumamosi, Machi 8 ilikuwa Siku ya Wanawake Duniani na katika mikutano mikuu miwili ya mwaka ya Bunge la Umma la China na ule wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China, wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wana jukumu muhimu katika kuunganisha hekima ili kuhimiza maendeleo ya nchi hiyo. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha