99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mawaziri wa China wahojiwa baada ya kikao cha 2 cha wajumbe wote cha mkutano wa 3 wa Bunge la 14 la China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2025
Mawaziri wa China wahojiwa baada ya kikao cha 2 cha wajumbe wote cha mkutano wa 3 wa Bunge la 14 la China
Waziri wa Ikolojia na Mazingira wa China Huang Runqiu akiwasili kwa mahojiano baada ya kikao cha pili cha wajumbe wote cha mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Machi 8, 2025. (Xinhua/Xu Bingjie)

Mawaziri wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara wanazoziongoza jana Jumamosi, Machi 8, baada ya kikao cha pili cha wajumbe wote cha mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China unaondelea kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha