99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mashamba ya chai kote wilayani Wuyi yaingia majira ya mavuno (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 06, 2025
Mashamba ya chai kote wilayani Wuyi yaingia majira ya mavuno
Wakulima wakivuna majani ya chai kwenye mashamba ya chai ya Wangzhai ya Wilaya ya Wuyi ya Mji wa Jinhua, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Machi 5, 2025. (Xinhua/Xu Yu)

Majira ya mchipuko yanapowadia, mashamba ya chai kote wilayani Wuyi, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China yameingia katika majira ya mavuno.

Katika miaka ya hivi katibuni, wilaya hiyo ya Wuyi imekuwa ikiendeleza shughuli ya chai ambayo imekuwa nguzo ya shughuli zake zote. Hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2024, ukubwa wa jumla wa eneo la mashamba ya chai katika wilaya hiyo umefikia mu 125,700 (hekta takriban 8,380). Wakulima zaidi ya 60,000 wameweza kufaidika moja kwa moja na biashara husika za chai. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha