99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya picha ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" yafunguliwa Kenya (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2025
Maonyesho ya picha ya
Balozi wa China nchini Kenya Guo Haiyan akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa maonyesho ya picha za habari ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" huko Nairobi, Kenya,Februari 12, 2025. (Picha na Wang Guansen/Xinhua)

Maonyesho ya picha za habari ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" yalifunguliwa Jumatano kwenye Ubalozi wa China huko Nairobi, Kenya.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha