99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Meli ya kupasua barafu ya China, Xuelong-2 yafanya uchunguzi wa mfumo wa ikolojia baharini katika Bahari ya Amundsen

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2025
Meli ya kupasua barafu ya China, Xuelong-2 yafanya uchunguzi wa mfumo wa ikolojia baharini katika Bahari ya Amundsen
Watafiti wa Timu ya 41 ya Utafiti wa Kisayansi wa Bahari ya Antaktika ya China wakifanya kazi kwenye meli ya kupasua barafu ya China, Xuelong 2, Februari 4, 2025. (Xinhua/Huang Taoming)

Meli ya kupasua barafu baharini ya China, Xuelong 2, inafanya uchunguzi wa mwezi mzima juu ya mfumo wa ikolojia baharini katika Bahari ya Amundsen, uchunguzi huo unahusisha uchunguzi na ufuatiliaji wa pande zote wa ikolojia ya viumbe, maji, mazingira ya miamba na hewa na utapakaji wa vitu vya uchafuzi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha