Mji wa Sanya wa China wapokea zaidi ya watalii milioni 2.56 wakati wa likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2025
![]() |
Watalii wakiburudika kwenye ufukwe wa eneo la kivutio cha watalii la Dadonghai mjini Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Februari 6, 2025. (Xinhua/Zhao Yingquan) |
Mji wa Sanya katika Mkoa wa Hainan, kusini mwa China umepokea watalii zaidi ya milioni 2.56 wakati wa likizo ya siku 8 ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyomalizika mapema wiki hii, ukizalisha yuan bilioni 6.7 (dola za Kimarekani kama milioni 920) katika mapato yatokanayo na utalii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma