99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2025
Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Picha ya droni iliyopigwa Januari 30, 2025 ikionyesha watalii wakijiburudisha kwenye eneo la kivutio cha watalii cha mji wa theluji mjini Zunhua, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. (Liu Mancang/Xinhua)

Watu wamekuwa wakifurahia shughuli mbalimbali kusherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo iliangukia Januari 29 mwaka huu. Sikukuu hiyo inaenda sambamba na likizo ya mapumziko ya siku nane kwa Wachina wote, ambayo huwapa fursa watu kujumuika na wanafamilia na kujionea shughuli na burudani mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha