99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China
Wasanii wa kijadi wakitumbuiza onyesho la ngoma ya dragoni katika Wilaya ya Tancheng, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 29, 2025. (Zhang Chunlei/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zimefanyika kote nchini China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China. Sikukuu hiyo ambayo likizo yake bado inaendelea, kwa mwaka huu iliangukia Januari 29, siku ya Jumanne wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha