99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Uwanja wa Ndege Mjini Beijing washuhudia wasafiri wengi wanaoingia katika siku ya kuamkia Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
Uwanja wa Ndege Mjini Beijing washuhudia wasafiri wengi wanaoingia katika siku ya kuamkia Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Afisa wa Uhamiaji akibadili tarehe kwenye muhuri wa uhamiaji kwenye eneo la uhamiaji katika kituo cha tatu cha kuondokea na kuwasili ndege cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing, mjini Beijing, China, Januari 28, 2025. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing, mjini Beijing, China ulishuhudia wasafiri wengi wanaoingia siku ya Jumanne, ambayo ilikuwa siku ya kuamkia Mwaka Mpya wa Jadi wa China. Wakati ambapo familia nyingi za Wachina zimerudi nyumbani kusherehekea sikukuu hiyo, raia baadhi wa kigeni wamechukua fursa ya sera za msamaha wa visa ya kuingia China au kusubiria kuunganisha ndege kwenda nchi nyingine kujionea na kufurahia hali ya sikukuu hiyo katika mji mkuu huo wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha