99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Barabara ya Yaxue yawapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni mkoani Heilongjiang, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 27, 2025
Barabara ya Yaxue yawapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni mkoani Heilongjiang, China
Picha ya droni iliyopigwa Januari 25, 2025 ikionyesha mwonekano wa eneo la kivutio cha watalii la "Kijiji cha Theluji" cha China kando ya Barabara ya Yaxue huko Mudanjiang, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Xie Jianfei)

Ikiwa ni sehemu ya barabara kuu ya kitaifa ya G333, Barabara ya Yaxue inaunganisha Miji ya Harbin, Yabuli na "Kijiji cha theluji", ambavyo vyote ni vyenye vivutio mashuhuri vya utalii vya majira ya baridi katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, vikiwapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni wa eneo hilo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha