99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shughuli?mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China zafanyika katika Nchi Nyingi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2025
Shughuli?mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China zafanyika katika Nchi Nyingi
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Philadelphia cha nchini Jordan wakionyesha mavazi ya kijadi ya?Hanfu?ya Kabila la Wahan kwenye shughuli ya chuoni kwao ya “Kheri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China” mjini Amman, mji mkuu wa Jordan, Januari 13. (Picha na Mohamed Abu Ghosh/Xinhua)

Ili kusherehekea ujio wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Nyoka kwa mujibu wa kalenda ya kilimo ya China, shughuli mbalimbali za Mwaka Mpya wa Jadi wa China zimekuwa zikifanyika katika nchi mbalimbali duniani.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha