99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkoa?wa Sichuan, China wavutia watalii na wapenda michezo ya theluji kwa rasilimali nyingi za barafu na theluji (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2025
Mkoa?wa Sichuan, China wavutia watalii na wapenda michezo ya theluji kwa rasilimali nyingi za barafu na theluji
Picha iliyopigwa Januari 19, 2025 ikionyesha mwonekano wa eneo la mapumziko la michezo ya kuteleza kwenye theluji la Taiziling katika Wilaya ya Maoxian, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Jiang Hongjing)

Kwa mujibu wa takwimu za Idara ya Utamaduni na Utalii ya Mkoa wa Sichuan nchini China, mkoa huo una maeneo karibu 50 ya utalii wa theluji na barafu na vituo muhimu 16 vya mapumziko ya michezo ya kuteleza kwenye theluji vyenye aina mbalimbali za vifaa vya kuchezea kwenye theluji, sehemu za kuteleza kwenye theluji za viwango tofauti na hata vituo vya ndani ya sehemu ya mapumziko ya michezo ya theluji na barafu ya ndani na majumba ya michezo ya kuteleza kwenye theluji, vikivutia watalii na wapenda michezo ya theluji wengi kila msimu wa theluji. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha