99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Hafla ya Kukaribisha Panda wa China yafanyika katika Bustani ya Wanyama ya Adelaide, Australia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2025
Hafla ya Kukaribisha Panda wa China yafanyika katika Bustani ya Wanyama ya Adelaide, Australia
Panda wakubwa akicheza katika BusPanda akila mianzi katika Bustani ya Wanyama ya Adelaide, Januari 21. (Picha na Zhang Na/ Xinhua)tani ya Wanyama ya Adelaide Januari 21. (Picha na Zhang Na/ Xinhua)

Serikali ya Jimbo la Australia Kusini nchini Australia imefanya hafla ya kukaribisha panda wawili wapya wa China katika Bustani ya Wanyama ya Adelaide Januari 21. Panda dume“Xing Qiu”na panda jike“Yi Lan” walifika Adelaide kwa ndege maalum Desemba15, 2024, wakianza raundi mpya ya ushirikiano wa utafiti kati ya China na Australia kuhusu uhifadhi wa panda. Kwa mujibu wa makubaliano, panda hao wataishi Australia kwa kipindi cha miaka 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha