99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa?Jadi?wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa?Jadi?wa China
Watalii wakifurahia maonesho ya “kupiga chuma na kutoa fashifashi” huku wakiendesha mashua ya mianzi kwenye Mto Gongshui katika wilaya ya Xuan'en, mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Januari 17, 2025. (Picha na Song Wen/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zimefanyika sehemu mbalimbali nchini China kukaribisha sikukuu ya kuanza kwa Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China, ambayo itaangukia Januari 29 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha