99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Gulio la kijadi?mjini?Qingdao lavutia watembeleaji wengi kabla ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
Gulio la kijadi?mjini?Qingdao lavutia watembeleaji wengi kabla ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Picha hii iliyopigwa kwa droni ikionyesha Gulio la Poli lililoko Eneo Jipya la Xihai’an la Mji wa Qingdao, Januari 18, 2025. (Xinhua/Li Ziheng)

Gulio la Poli limekuwa na historia ya miaka zaidi ya 300, gulio hili ni mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa huko, na pia ni moja ya magulio makubwa ya kijadi katika Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. Wakati huu ambapo Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China inakaribia kuwadia, watu wengi wanamiminika kwenye gulio hilo kwa kununua mapambo tele ya mwaka mpya, mazao ya kilimo, vyakula vya kienyeji na kadhalika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha