99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Daraja Kuu la Bonde la Huajiang Kusini Magharibi mwa China lawa Tayari Kukamilika (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
Daraja Kuu la Bonde la Huajiang Kusini Magharibi mwa China lawa Tayari Kukamilika
Picha ya droni ikionyesha mwonekano wa daraja kuu la Bonde la Huajiang katika Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, Januari 14, 2025. (Xinhua/Yang Wenbin)

ZHENFENG – Hadi kufikia sasa, sehemu 93 za daraja kuu la Bonde la Huajiang kwenye barabara kuu ya Liuzhi-Anlong katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China zimeunganishwa, na daraja hilo linakaribia kumaliza kufungwa kikamilifu.

Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu mlalo wa mita 2,890 ulianza mwaka 2022. Likiwa na urefu sanifiwa wa wima wa mita 625 kati ya msingi wa daraja na Mto Beipanjiang kwa chini, daraja hilo litakuwa na urefu zaidi duniani kwenda juu baada ya kukamilika kwake mwaka 2025.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha