99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho laanza Tianjin (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 10, 2025
Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho laanza Tianjin
Mshiriki akijaribu kifaa chake cha kutafsiri sauti kwenye Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho linalofanyika Tianjin, kaskazini mwa China, Januari 9, 2025. (Xinhua/Li Ran)

Likiwa na kaulimbiu ya "Kuwezesha mustakabali endelevu wa siku za baadaye kwa nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora," Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho limeanza rasmi huko Tianjin, kaskazini mwa China jana Alhamisi, likivutia washiriki zaidi ya 600 kutoka nchi na maeneo 20.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha