99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Upendo na Ulinzi: Picha za Kumbukumbu za uokoaji wa maafa ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa kipimo cha 6.8 katika Wilaya ya Dingri mkoani Xizang (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2025
Upendo na Ulinzi: Picha za Kumbukumbu za uokoaji wa maafa ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa kipimo cha 6.8 katika Wilaya ya Dingri mkoani Xizang
Tarehe 8, Januari, mwokoaji akicheza na mtoto kwenye kituo cha makazi ya muda cha kijiji cha Wilaya ya Dingri. (Xinhua/Jigme Dorje)

Asubuhi ya tarehe 7, Januari, tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.8 lilitokea katika Wilaya ya Dingri ya Mji wa Xigaze wa Xizang, China. Tetemeko hilo limesababisha vifo wa watu wengi na kubomoka kwa nyumba nyingi .

Baada ya tetemeko la ardhi kutokea, watu wa sekta mbalimbali wametoa kwa haraka msaada wao wenye moyo wa upendo na ulinzi. Timu za uokoaji zimekusanyika kwenye eneo lililoathirika katika tetemeko la ardhi, zikitafuta watu walionusurika na kulinda mali za watu kwa kadri wawezavyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha