99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Sanamu ya Barafu inayosanifiwa kutokana na Manowari ya Kubeba Ndege za Kivita Liaoning yaonyeshwa mjini Harbin, Kaskazini-mashariki mwa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2025
Sanamu ya Barafu inayosanifiwa kutokana na Manowari ya Kubeba Ndege za Kivita Liaoning yaonyeshwa mjini Harbin, Kaskazini-mashariki mwa China
Picha iliyopigwa na droni ikionyesha watalii wakitazama sanamu ya barafu inayosanifiwa kutokana na Manowari ya Kubeba Ndege za Kivita Liaoning katika Eneo la Daowai, mjini Harbin, Mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 7, 2025.(Xinhua/Xie Jianfei)

Sanamu hiyo ya barafu yenye urefu wa mita 65, upana wa mita 15 na urefu wa juu mita 13, imechukua jahazi kama msingi wake, na muundo wa chuma kama mfumo wake. Muundo wake wa nje zikiwa ni pamoja na sitaha ya ndege na kisiwa cha manowari ambazo zote zimechongwa na barafu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha