99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ukaguzi wa usalama wa treni za mwendokasi wakaribisha safari za msimu wa sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2025
Ukaguzi wa usalama wa treni za mwendokasi wakaribisha safari za msimu wa sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China
Mafundi wakishughulikia tatizo la vifutio vya kioo cha mbele cha treni ya mwendokasi ya Fuxing katika karakana ya EMU ya Shirika la Kundi la Kampuni za Reli la China, Tawi la Xi’an, mjini Xi’an, Shaanxi, Januari 7, 2025. (Picha kutoka vip.people.com.cn)

Katika siku za karibuni, mafundi wa treni za Mifumo Mbalimbali ya Umme (EMUs) wa karakana ya EMU ya Xi’an ya Shirika la Kundi la Kampuni za Reli la China, Tawi la Xi’an wamekuwa wakifanya ukaguzi wa usalama wa treni za mwendokasi za EMUs na kikamilifu kujiandaa kwa ajili ya usafiri na usafirishaji katika msimu wa sikukuu ijayo ya mwaka mpya wa jadi wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha