99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shughuli?ya kubadilisha?vyombo?vya umeme vya zamani??kuwa?vyombo?vipya?yahimiza?matumizi?mkoani?Guangxi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 03, 2025
Shughuli?ya kubadilisha?vyombo?vya umeme vya zamani??kuwa?vyombo?vipya?yahimiza?matumizi?mkoani?Guangxi
Picha hii ikionesha sehemu ya kuuza Baiskeli inayotumia umeme.(Picha na He Ning/People's Daily Online)

Jioni ya tarehe 31 Desemba, Shughuli ya Usiku wa kung'aa wa Biashara ya Vyombo vya Umeme ya Mwaka Mpya wa Njia Mpya ya Hariri ya Guangxi 2025 ilifanyika mjini Nanning, katika mkoa wa Guangxi. Katika shughuli hiyo, Soko la Mwaka Mpya la China (Guangxi)-ASEAN 2025 lilifunguliwa katika hali motomoto. Katika sehemu ya kubadilisha vyombo vya umeme nyumbani vya zamani kuwa vyombo vipya, hali mpya ya matumizi imeonekana wazi, wafanyabiashara na kampuni nyingi zimeanzisha shughuli ya punguzo kubwa la bei ya bidhaa Mwaka Mpya kwenye msingi wa ruzuku za serikali na kuvutia watu wengi kuuliza na kununua.

Habari zinasema kuwa , kuanzia mwisho wa Novemba hadi Desemba 31, Mkoa wa Guangxi ulianzisha shughuli ya Matumizi ya Majira ya Baridi ili kuhimiza ustawi wa soko la matumizi ya mwisho wa mwaka. Hadi sasa, idadi ya washiriki kwenye shughuli hiyo ya kubadilisha vyombo vya umeme nyumbani vya zamani kuwa vyombo vipya mkoani Guangxi imezidi milioni 4.09, na kwa jumla kuchochea thamani ya mauzo ya bidhaa husika kuzidi Yuan bilioni 26.2.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha