99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Siku ya Mwaka Mpya yaadhimishwa kote China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 02, 2025
Siku ya Mwaka Mpya yaadhimishwa kote China
Picha hii iliyopigwa kwa droni Januari 1, 2025 ikimuonyesha mkereketwa wa kuogelea wakati wa majira ya baridi akiogelea huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Tao)

Watu katika sehemu mbalimbali kote nchini China kama walivyofanya watu wa nchi mbalimbali duniani kote wamejiburudisha kwa shughuli mbalimbali, kusherehekea siku ya kwanza ya mwaka 2025 jana Jumatano, Januari 1 ambayo ilikuwa siku ya mapumziko.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha