99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Meli ya utafiti wa kisayansi na utafiti wa mabaki ya kale kwenye bahari ya kina kirefu iliyoundwa kwa kujitegemea na China ?yazinduliwa rasmi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 30, 2024
Meli ya utafiti wa kisayansi na utafiti wa mabaki ya kale kwenye bahari ya kina kirefu iliyoundwa kwa kujitegemea na China ?yazinduliwa rasmi
Picha hii iliyopigwa Desemba 29, 2024 ikionyesha Meli ya Tan Suo San Hao (au Meli ya Utafiti No.3) yenye matumizi mbalimbali ya utafiti wa kisayansi na utafiti wa mabaki ya kale kwenye bahari ya kina kirefu jana Jumapili ikifika bandari moja ya Mji wa Sayansi na Teknolojia wa Ghuba ya Yazhou huko Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, na meli hiyo imezinduliwa rasmi huko. (Picha na Li Duojiang/Xinhua)

Meli hiyo yenye urefu wa mita 104 iliyosanifiwa na kuundwa na China kwa kujitegemea ina uwezo wa kubeba karibu tani 10,000, uhimilivu wa kusafiri maili 15,000 za baharini na uwezo wa kubeba wafanyakazi 80. Na kwenye sehemu za mbele na nyuma za meli hiyo, vimewekwa vifaa vyenye uwezo wa kupasua barafu kwa mwelekeo wa pande mbili. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha