99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya China na kusini mashariki mwa Afrika yafunguliwa Qingdao, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 17, 2024
Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya China na kusini mashariki mwa Afrika yafunguliwa Qingdao, China
Picha ya droni iliyopigwa tarehe 16 Desemba 2024 ikionyesha meli ya mizigo "GREEN NAGOYA" ikipakiwa mizigo katika Bandari ya Qingdao ya Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya Mji wa Qingdao wa China na kusini mashariki mwa Afrika imefunguliwa rasmi jana Jumatatu. Ikiwa inatoa huduma kila wiki, njia hiyo inaongeza njia mbadala ya usafiri wa baharini iliyo salama na ya haraka kati ya China na Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha