99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Idadi kubwa ya korongo wenye nyundu?nyekundu waruka hadi Yancheng, China?kwa ajili ya?msimu wa baridi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 16, 2024
Idadi kubwa ya korongo wenye nyundu?nyekundu waruka hadi Yancheng, China?kwa ajili ya?msimu wa baridi
Korongo wenye nyundu nyekundu wakiwa wamepumzika na kula chakula katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Ardhi Oevu ya Wanyamapori Adimu, mji wa Yancheng, mkoani Jiangsu, Desemba 15.

Kwa sasa, idadi kubwa ya korongo wenye nyundu nyekundu wamewasili katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya ya Ardhi Oevu ya Wanyamapori Adimu katika mji wa Yancheng, mkoani Jiangsu, China kwa ajili ya msimu wa bardi. Hifadhi hiyo iko kwenye pwani ya Bahari ya Manjano, na ni kituo muhimu kwenye njia ya “Asia Mashariki-Australasia”, mojawapo ya njia tisa za ndege wanaohamahama duniani. Kila mwaka, korongo zaidi ya 600 wenye nyundu nyekundu huja hapa kwa ajili ya msimu wa bardi.

(Picha na Tang Dehong/ Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha