99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maendeleo ya roboti yenye umbo la binadamu yastawi katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 16, 2024
Maendeleo ya roboti yenye umbo la binadamu yastawi katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao ya China
Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao nchini China, lina uwezo kubwa katika utafiti na maendeleo na msingi thabiti wa uundaji, ambalo ni eneo linalofaa kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya roboti yenye umbo la binadamu. (Xinhua/Mao Siqian)

Katika miaka ya hivi karibuni, maeneo mbalimbali katika sekta ya roboti yenye umbo la binadamu, kuanzia vipengele vya msingi hadi mfumo, yamekuwa yakistawi katika Eneo la Ghuba Kuu hiyo. Kampuni nyingi za teknolojia na taasisi za utafiti zimejitokeza hapa, zikiingiza akili na ujuzi zaidi katika ufanisi wa bidhaa za roboti yenye umbo la binadamu, ambazo hupelekwa hatua kwa hatua katika nyanja za uendeshaji wa viwanda, huduma za matibabu, elimu na utafiti, na nyinginezo.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha