99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maeneo ya kihistoria yaliyokarabatiwa ya Macao, China yavutia wenyeji na watalii

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2024
Maeneo ya kihistoria yaliyokarabatiwa ya Macao, China yavutia wenyeji na watalii
Picha hii iliyopigwa Desemba 2, 2024 ikionyesha mwonekano wa Ngome ya Mizinga iliyokarabatiwa upya katika Mkoa wa Utawala Maalum wa Macao (SAR) nchini China. (Xinhua/Cheong Kam Ka)

Serikali ya Mkoa wa Utawala Maalum wa Macao (SAR) nchini China siku zote inajikita katika kukarabati na kutumia kwa kufaa maeneo ya kihistoria katika mkoa huo. Idadi ya wenyeji na watalii wanaotembelea maeneo hayo imeongezeka siku hizi ili kuhisi haiba ya mafungamano kati ya tamaduni za jadi na za kisasa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha