99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Barabara mpya ya kuvuka baharini yafunguliwa kwa matumizi?katika Mkoani?Guangdong

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2024
Barabara mpya ya kuvuka baharini yafunguliwa kwa matumizi?katika Mkoani?Guangdong
Picha iliyopigwa Desemba 7, 2024 ikionyesha Daraja la Bandari ya Gaolan (lenye minara miwili mikuu kwenye upande wa kushoto) na Daraja la Huangmaohai (lenye minara mikuu mitatu kwenye upande wa kulia) katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liu Dawei)

Barabara ya kuvuka baharini ya Huangmaohai, inayounganisha Miji ya Zhuhai na Jiangmen Mkoani Guangdong, Kusini mwa China imefunguliwa rasmi kwa matumizi jana siku ya Jumatano.

Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita takriban 31 huku sehemu yenye urefu wa kilomita 14 ikiwa juu ya bahari, inajumuisha madaraja makuu mawili, ambayo ni Daraja la Huangmaohai na Daraja la Bandari ya Gaolan.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha