99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mwonekano wa mitandao ya barabara katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2024
Mwonekano wa mitandao ya barabara katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao, China
Picha iliyopigwa Julai 3, 2024 ikionyesha magari yakiendeshwa kwenye daraja la barabara kiunganishi cha miji ya Shenzhen na Zhongshan, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Mao Siqian)

Katika miaka ya hivi karibuni, ujenzi wa barabara za madaraja ya kuvuka mto na bahari katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao nchini China umekuwa ukiendelea kwa kasi. Mitandao hiyo ya barabara kiunganishi za madaraja inafanya kazi muhimu sana katika kujenga na kuboresha mtandao mpana wa mawasiliano ya barabarani, kwenye njia ya reli, na njia ya majini katika Eneo la Ghuba Kuu hiyo, vilevile kuhimiza ushirikiano na maendeleo ya kina katika eneo hilo.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha