99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Msimu wa kukusanya barafu waanza mjini Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 10, 2024
Msimu wa kukusanya barafu waanza mjini Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China
Wafanyakazi wakikusanya barafu kutoka Mto Songhua mjini Harbin, mji mkuu wa Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Desemba 9, 2024. (Xinhua/Wang Song)

Msimu wa kukusanya barafu unapoanza mjini Harbin, vipande vya barafu vinakatwa na kuinuliwa kutoka Mto Songhua ulioganda kwa ajili ya kujenga vinyago vya barafu kwenye vivutio vya watalii katika maeneo mbalimbali ya mji huo. Moja ya vivutio hivyo vinavyojulikana zaidi ni Bustani ya Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin, bustani maarufu ya majira ya baridi mjini humo ambayo huvutia watalii wengi kila majira ya baridi unapowadia.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha